Juzi juzi kuna mtu bongo alikula kichwa cha mtoto, sasa tusemeje kuhusu waafrika? That's stereotyping!Watu wanaofanya mambo ya ajabu wako katika kila aina ya race.Ni hayo tu! Tarehe Wed Apr 30, 04:00:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous .... Nimeona CNN kuwa hiki kibabu kilikuwa kinakwenda likizo(vacation) nchini thailand.Sasa cha ajabu ni kuwa hawa wafungwa(vyovyote utakavyowaita) hawakuweza kukimbia,kuomba msaada toka polisi,kupiga kelele kwa majirani zao. ...